Home > Damu ya Yesu > Damu ya Yesu ina Nguvu
Damu ya Yesu ina Nguvu
By Yote Yanawezekana Kwa Yesu • October 23, 2019 • Damu ya Yesu • Comments : 0
UFU12:11Nao wakamshinda kwa damu ya mwana kondoo na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa
DAMU ya Yesu Kristo in nguvu ya kuhalibu Kila maagano ya kuzimu na makafara
Kwani kupitia damu ya Yesu Kristo tuna pata ushindi dhidi mkuu wa uasi Ibilisi
Kupitia damu ya Yesu tunashinda Kila Vita vya maisha na katika huduma kupitia damu ya Yesu kila matatizo yote ya duniani hushugulikiwa na damu ya Yesu kwani damu ya Yesu inauwezo wa kuharibu kazi zote za Ibilisi roho ya uchawi mapepo ya ulevi,ushoga urawiti ufiraji usagaji ufutaji bangi sigara
DAMU yake Yesu Kristo ndiyo inaweza kufuta tabia zote chafu ambazo kwa ufahamu wa kibinadamu umeshindikana
Kwani watu walijitaidi kuacha ushoga,usagaji uvutaji sigara uzinzi wameshindwa na wengine walijitaidi kwa mwezi mmoja tu katika mwaka RAKINI miezi kumi na moja ni uzinzi, ufiraji ufilwaji,usagaji elevi na ufutaji sigara ni Kama kawaida.
Lakini ukimpokea Kristo Yesu atakuwezesha kushinda hizo tabia sugu ambazo zimekushinda kuacha kwa akili zako.
Kwani tunaishi katika dunia iliyojaa na mapepo mchafu ya fahari,uasi na uovu hivyo pepo mchafu husaidiwa na maelfu ya mapepo wenye tabia moja. Kwani mapambano yote ya yetu yanahusiana kabisa na mapepo machafu ya Anga hewani katika sehemu mbalimbali za ichi na duniani kwa ujumla wake
Ndiyo maana Yesu Kristo alijitoa kafara kwa damu yake kusudi sisi wanadamu wote duniani tupate uzima wa milele
Isa53:18
Ndugu yangu kabidhi leo maisha kwa Yesu Kristo kusudi damu ya Yesu Inene Mema Sasa tofauti na Hapo kuzimu inakuhusu na wakati wa parapanda
Ziwa la.moto wa jehanamu lina kuhusu
umekuwa mbishi kuokoka sasa zamu yako inakuja
Hakuna wa kukuombea tubu leo na uokoke kwani baada kifo ni hukumu .
Maombi na maombezi kwa watu wote
0672870833
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment