MAOMBI MAALUMU YA KUFUNGULIWA KUTOKA KWENYE VIFUNGO VYA KICHAWI
Watu wengi wanaishi leo lakini maisha yao yamefungwa
Na kunawengine mlitowa mpaka sada za damu kwajiri ya kuwafunga wengine,
Asirimia kubwa ya maisha ya watu wengi yameharibiwa kupitia nguvu za kichawi
Nawengine mmeharibiwa maisha kupitia maagano mbali mbali
Mlio ingizwa na waganga au wachawi kwa kutowa Damu
DALILI ZA MTU MWENYE VIFUNGO KTK URIMWENGU WA ROHO
1)Mtu mwenye vifungo kila anacho Fanya hakifanikiwi
2) Mtu mwenye vifungo anachukiwa na watu bila sababu
3) Mtu mwenye vifungo hutawaliwa na roho za kukataliwa
4)Mtu mwenye VIFUNGO hawezi kudumu katika ndowa au mausiano
5)Mtu mwenye VIFUNGO anaweza kuwa mtu wa hasira nyingi
6)Mtu mwenye VIFUNGO hutawaliwa na Ndoto mbaya na hofu
7)Mtu mwenye vifungo hawez kufanya jambo lolote anaogopa
WATU WENGI MMEFUNGWA KATIKA VIFUNGO MBALI MBALI
UNAITAJI KUFUNGULIWA NA KUTOKA KWENYE VIFUNGO IVYO
WAKATI HUU WEWE AMBAE UNAKIFUNGO KIMEKUFUNGA KATIKA MAISHA YAKO NATAMKA UFUNGULIWE
Pia usipite bila Ku share na kutamka Neno utafunguliwa
Type;Napokea KUFUNGULIWA kila kifungo kilicho funga maisha yangu katika jina la Yesu Kristo nimefunguliwa sasa
Kwa maombi na maombezi
0672870833
Home > Vifungo vya kichawi > Vifungo vya kichawi
Vifungo vya kichawi
By Yote Yanawezekana Kwa Yesu • October 23, 2019 • Vifungo vya kichawi • Comments : 0
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment