Headlines

Matatizo sio tatizo

3. Furaha sio kutokuwepo kwa tatizo bali ni kushughulikia matatizo. Yoh 16:20
Watu wengi hufurahia wakiona hawana matatizo .
Usifurahi hali hiyo kamwe.
Furahia kuyashughulikia matatizo kwani utakua mtu wa viwango katika kufanikiwa.
Usikose
Kipengele cha 4
0672870833
✝️🔯

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © Yote Yanawezekana Kwa Yesu. Designed by OddThemes