Headlines

DALIKI ZA MTU MWENYE JINI MAHABA

     
ZIFUATAZO NI BAADHI YA DALILLI ZA KUWA NA JINI MAHABA.
1)Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti.
2)Kuota unafanya mapenzi na mnyama
3)Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto
4)Kutokudumu kwnye mahusiano km ndoa au mchumba.
5)Kuwa na hasira za haraka
6)Kukwama kwa mipango yako.
7)Kupoteza pesa au vitu vya thamani.unaweza ukaweka pesa kwny walet au mahali salama KBS kisha ukakuta zimepungua
8)Kutokuwa na ham ya mapenz kwa wanawake na wanaume kutokuwa na nguvu za kiume.
9)Kuota umefunga ndoa
10)Maumivu ya kichwa,mgongo,kiuno na tumbo haswa chini ya kitovu.
11)Kuvulugika siku au kuharibika kwa mimba au kutoshika mimba kabisa
12)Kuumwa U.T.I isiyoisha inayojirudia
13)Kutokupenda KBS mahusiano
14)Matiti kujaa au kutoa maziwa na hauko mjamzito au unanyonyesha
15)Kutodumu kwny kazi na kutokana na pesa
Hizo ni baadhi ya Dalili za jini mahaba.Tafakari chukua hatua.

YEYOTE ULIYETUPIWA JINI MAHABA ILI UMCHUKIE
MUME WAKO
MKE WAKO
MCHUMBA WAKO LITOKE NDANI YAKO N LISHINDWE KWA JINA LA YESU KRISTO.
By
EV.MCHOME
0672870833

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © Yote Yanawezekana Kwa Yesu. Designed by OddThemes