Friday, July 6, 2018
JINSI YA KUPATA DOMAIN NAME BURE KWENYE BLOGGER
Karibu ndugu wasomaji wa blog yangu,leo nawaletea mbinu ya kuweka jina miliki (domain name) kwenye blog au website yako.Kama tujuavyo watu ambao wanamiliki blog au website huwa wanatamani sana kuwa au kuona jina lao wanalolipenda kuonekana pasipo kuwa na custom domain ya kampuni walipo jisajili mf. www.jumabush.blogspot.com badala yake pale utakapokuwa na domain name jina litakuwa kama www.jumabush.com,org,net.Endelea nami ili uweze kujua ni kwa namna gani utapata jina milikishi la blog au website yako
Kuna website nyingi ambazo zinatoa free domain name kama vile: godady.com,hostgater.com na freenom.com .NIngependa kuwaonesha jinsi ya kupata domain name kupitia website ya freenom.
hawa freenom wanakupa jina milikishi au domain name likiwa mwisho lina tk,ml,ga cf ,gq
sasa tutakuwa tumepata free domain kwa kufuata hatua hizi
1. Nenda kwenye website ya FREENOM.COM na ujisajili au regist
2.Andika domain name unayotaka au jina unalomiliki kwenye sehemu ya kutafuta au search kisha
bonyeza kisanduku kilichoandikwa CHECKOUT
3.Bonyeza sehemu iloandikwa FORWARD THIS DOMAIN na uweke jina lako kisha bofya kitufe kilichoandikwa CONTINUE
4.Jaza information zako kama jina, address,city ,country nk baada ya kujaza details zako bonyeza kitufe kilichoandikwa COMPLETE ORDER BUTTON
5.Bonyeza sehemu iliyoandikwa CLICK HERE TO GO TO YOUR CLIENT AREA
6.Fungua home page ya freenom na ufungue sehemu iliyoandikwa SERVICE alafu bonyeza7.Kwenye hili eneo utaona domain yako au jina miliki mpaka hapo utakuwa umemaliza na umepata free domain
NATUMAINI UMEFURAHIA POST YANGU MPAKA WAKATI MWINGINE ENDELEA KUTEMBELEA BLOG YANGU

Post a Comment