Headlines

Matatizo sio tatizo (falsafa)

5. Katika giza la matatizo ndipo unaona nyota za suluhisho.
Bila giza hakuna ndoto.
Katika shida na matatizo mengi hapo ndipo utayaona mafanikio makubwa sanaaa.
Usikate tamaa
Usikose kipengele cha 6
EV.MCHOME
0672870833
✝️🔯

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © Yote Yanawezekana Kwa Yesu. Designed by OddThemes