Headlines

Matatizo sio tatizo (falsafa )

6. Huwezi kuziona nyota bila giza Nene.
Unataka kuyaona mafanikio kubali kushinda na matatizo mazito yanayo kukabili.maana katika hayo utaona mafanikio.
Katika dhoruba kuu ya wanao kuchukia ndipo Mungu hufanya kitu cha tofauti hapo .
Usikate tamaa.
Usikose kipengele cha 7
EV.MCHOME
0672870833
✝️🔯

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © Yote Yanawezekana Kwa Yesu. Designed by OddThemes