Headlines

Matatizo sio tatizo

1. Tatizo ni zawadi bila matatizo tusingekuwa tulivyo.
 Watu wengi wamekua walivyo kutokana na msukumo wa matatizo waliyo yapata hapo nyuma. Hakuna kitu kizuri kama maadui katika nyanja ya wewe kufanikiwa.
Unataka kufanikiwa unahita marafiki na maadui zaidi.

Usikose kipengele cha 2

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © Yote Yanawezekana Kwa Yesu. Designed by OddThemes