Headlines

MPANGO WA MUNGU NI MKUBWA HAKUNA WA KUPINGA


Kenya toka ipate uhuru imeongozwa na marais wanne na wote wako hapa pichani..
 Waliokaa ni rais wa kwanza Jommo Kenyatta akiwa na mwanae Uhuru Kenyatta ambaye ni Rais wa awamu ya nne.. aliyesimama ni Raisi wa awamu ya pili Daniel Arap Moi na aliyeinama ni rais wa awamu ya tatu Mwai Kibaki.. wakati wa picha hii Jommo Kenyatta alikuwa raisi huku Daniel Arap Moi akiwa makamu wa rais na Mwai Kibaki alikuwa waziri..
#History..

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © Yote Yanawezekana Kwa Yesu. Designed by OddThemes