Kiburi
By Yote Yanawezekana Kwa Yesu • November 08, 2019 • Kiburi • Comments : 0
Kiburi sikuzote kitakuzuia kujifunza kwa waliokutangulia.
Kiburi siku zote kitakuambia wewe ni mkubwa sana kuliko wengine .
Kiburi siku zote kitakupa mipaka ya kusoma vitabu vya wengine
Kiburi ukiwa nacho hutaona uzuri wa watumishi wengine zaidi ya uzuri wako mwenyewe, hata wakifanya mazuri utajaribu kuyafuta kwa watu wasiamini kiburi ni pepo chafu sanaaaa
Kiburi kitakupa lugha za kujiinua utajiona Duniani kote upo peke ako.
Kiburi hakitambui wengine zaidi yako
Mungu huwapinga wenye kiburi kwa sababu hakitoki kwake kinatoka kwa Adui.
kiburi kitakuambia kaa nyumbani usiende kanisani hata hapa Mungu yupo sikia Mungu hakai mahali pasipo na ushirika.
ACHA KIBURI
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment