Home > Maombi > Mambo yanayo hitajika wakati wa kufanya maombi
Mambo yanayo hitajika wakati wa kufanya maombi
By Yote Yanawezekana Kwa Yesu • November 05, 2019 • Maombi • Comments : 0
1)- IMANI:»π Marko 11:25
2)- NEEMA:»π Zekaria 12:10
3)- NENO LA MUNGU:»π Yohana 15:7
4)- ROHO MTAKATIFU:»π Warumi 8:26
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
YAFUTAYO NI MAANDIKO BAADHI KWA AJILI YA KUTUMIA WAKATI WA KUOMBA UPONYAJI.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
IMEANDIKWA: “Wala hapana mwenyeji atakayesema, Mimi mgonjwa; watu wakaao humo watasamehewa uovu wao.”
π» ISAYA 33:24
IMEANDIKWA: “Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,” π» ZABURI 103:3-4
IMEANDIKWA: “Tazama, nitauletea afya na kupona, nami nitawaponya; nami nitawafunulia wingi wa amani na kweli.” π» YEREMIA 33:6
IMEANDIKWA: “Na BWANA atakuondolea ugonjwa wote; wala hatatia juu yako maradhi yo yote mabaya uyajuayo ya Misri, lakini atayaweka juu ya wote wakuchukiao.”
π» KUM/ TORATI 7:15
IMEANDIKWA: “Sitakufa bali nitaishi,
Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.”
π» ZABURI 118:17
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BWANA AKUJALIE UPONYAJI NA AFYA KWA UTUKUFU WA JINA KUU LA YESU KRISTO !! π
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment