Headlines

Matatizo ya kifikra


leo tutazungumzia matatizo ya kifikra
Je unajua kuwa Asilimia 75 ya magonjwa ya kimwili yamesababishwa na matatizo ya kifikra??.
 Wakristo  wengi  wanasema matatizo ya kiroho, ingawa kuna tofauti kubwa kati ya fikra na roho.
Watu wengi wana matatizo mengi hasa katika fikra zao na siyo kwenye roho.
Utakuta mtu mwingine ana matatizo mengi kwenye fikra lakini yeye anayapeleka matatizo hayo kwenye kiroho kwa sababu roho na fikra viko karibu.
Ukikosea mtazamo unapeleka maneno ya kifikra yatatuliwe kiroho. Utapoteza muda mwingi na kufa na uhaba na hutaweza kuelewa kwa nini.
Ukiwa na matatizo ya kifikra inabidi utibiwe kifikra, na ukiwa na matatizo ya kiroho inabidi utibiwe kiroho. Kwa hiyo usipeleke matatizo ya kifikra kanisani, bali peleka matatizo ya kifikra kwa mwenye fikra.-
DR .e

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © Yote Yanawezekana Kwa Yesu. Designed by OddThemes